Chagua kifurushi

Mwezi wa kwanza ni BURE

Bei zote ni katika shilingi ya Tanzania

Anza

30,000 /mwezi

Kwa kuanzia

Jaribu Bure
  • Mwezi 1 Bure
  • Watumiaji 2
  • Huduma kwa Wateja
  • Pakua Ripoti
  • Kuhifadhi taarifa kila siku
  • SMS 50 kila Mwezi
  • Barua Pepe 50 Kila Mwezi

Kibo

50,000 /mwezi

Kua Zaidi

Jaribu Bure
  • Mwezi 1 Bure
  • Watumiaji 5
  • Huduma kwa Wateja
  • Pakua Ripoti
  • Kuhifadhi taarifa kila siku
  • SMS 150 kila Mwezi
  • Barua Pepe 150 Kila Mwezi
  • Ujumbe mfupi kwa njia(SMS na Barua Pepe)
  • Ongezewa mahitaji yako
  • punguzo 5% kwa matawi

Uhuru

100,000 /mwezi

Kuwa Huru Kabisa

Jaribu Bure
  • Mwezi 1 Bure
  • Watumiaji zaidi ya 5
  • Huduma kwa Wateja
  • Pakua Ripoti
  • Kuhifadhi taarifa kila siku
  • SMS 500 kila Mwezi
  • Barua Pepe 500 Kila Mwezi
  • Ujumbe mfupi kwa njia(SMS na Barua Pepe)
  • Ongezewa mahitaji yako
  • punguzo 25% kwa matawi
  • tovuti yako mf. acc.mycompany.com

Anza

25,000 /mwezi

Kwa kuanzia

Jaribu Bure
  • Mwezi 1 Bure
  • Watumiaji 2
  • Huduma kwa Wateja
  • Pakua Ripoti
  • Kuhifadhi taarifa kila siku
  • SMS 50 kila Mwezi
  • Barua Pepe 50 Kila Mwezi

Kibo

42,000 /mwezi

Kua Zaidi

Jaribu Bure
  • Mwezi 1 Bure
  • Watumiaji 5
  • Huduma kwa Wateja
  • Pakua Ripoti
  • Kuhifadhi taarifa kila siku
  • SMS 150 kila Mwezi
  • Barua Pepe 150 Kila Mwezi
  • Ujumbe mfupi kwa njia(SMS na Barua Pepe)
  • Ongezewa mahitaji yako
  • punguzo 5% kwa matawi

Uhuru

90,000 /mwezi

Kuwa Huru Kabisa

Jaribu Bure
  • Mwezi 1 Bure
  • Watumiaji zaidi ya 5
  • Huduma kwa Wateja
  • Pakua Ripoti
  • Kuhifadhi taarifa kila siku
  • SMS 500 kila Mwezi
  • Barua Pepe 500 Kila Mwezi
  • Ujumbe mfupi kwa njia(SMS na Barua Pepe)
  • Ongezewa mahitaji yako
  • punguzo 25% kwa matawi
  • tovuti yako mf. acc.mycompany.com

Unayo maswali? Soma hapa chini.

Soma baadhi ya maswali waliyonayo wateja wetu

Ndio, mara tu baada ya kufanikiwa kujisajili utapata mwezi mmoja wa bure. Aidha, ukilipa kwa mwaka mzima unapata punguzo la bei.
Upo mwezi mmoja bure wa majaribio bila malipo. Baada ya huo mwezi wa kwanza, haturudishi pesa.
Ndio, unaweza kuhamia kifurushi kikubwa zaidi muda wowote ule. Utaongeza tu kiasi cha fedha kuendana na hicho kifurushi
Ndio, unaweza kusitisha na hutadaiwa chochote. Kabla ya kusitisha, tunakushauri uwasiliane na kitengo chetu cha huduma kwa wateja tupate kukusaidia zaidi.
Ndio, tunatoa mafundisho ya kutumia mfumo wetu. Kama ni nje wa mkoa wa Dar es Salaam, utagharamia usafiri tu wa mtoa huduma wetu. Tunashauri kutumia njia za mtandaoni kama ZOOM, Google MEET na SKYPE kwa ajili ya mafundisho haya. Ni Bure Kabisa.
Ndio, kwa wateja wa kifurushi chetu cha UHURU tunafanya hili, kwa vifurushi vingine, unaweza kuzungumuza na kitengo chetu cha huduma kwa wateja kwa msaada zaidi.
Bado una swali? bofya hapa kuuliza